Wednesday, June 8, 2016

NGUVU YA IBADA KATIKA KULINDA SIHA NJEMA: UZAZI WA MPANGO





NGUVU YA IBADA KATIKA KULINDA SIHA NJEMA

Je, unajua kuwa afya ya akili ya mtoto inaathiriwa sana na muda wa kupishana na mtoto aliyemtangulia katika kuzaliwa?

Watoto wanaozaliwa haraka haraka bila kuachana kwa kipindi cha kutosha aghalabu yule mdogo huathiriwa na maradhi ya kushindwa kujifunza yanayoitwa 'autism'.

Ukali wa maradhi hayo huongezeka kadri muda wa kupishana watoto hao unavyozidi kuwa mdogo.

Mathalani wakipishana mwaka mmoja kiwango cha autism kitakuwa ni kikubwa ukilinganisha na waliopishana mwaka mmoja na nusu, na waliopishana mwaka mmoja na nusu kiwango cha autism kitakuwa kikubwa kuliko waliopishana miaka miwili, nakadhalika.

Mwenyezi mungu aliyetuumba katuagiza tunyonyeshe miaka 2 na kuendelea (quran 2:233)...................... je, waona hekima yake sasa?



No comments:

Post a Comment