Friday, May 13, 2016

TANGAWIZI: NJIA BORA KABISA YA KUZIBUA NJIA YA HEWA ILIYOZIBA

Kuna wakati kamasi zito husiriba njia ya hewa kuanzia kifuani hadi kwenye pua na kutuweka kwenye mazingira magumu sana.
Kama ukipata tatizo hili njia bora kabisa ya kulitatua ni kutumia tangawizi. 
Chukua kiasi cha inchi moja ya kipande cha tangawizi mbichi na uiponde ponde kisha uiweke kwenye kikombe cha chai. Ongeza kiasi cha robo kijiko cha chai cha unga wa pilipili. Jaza kikombe kwa maji ya moto. Baada ya kupoa kidogo kunywa kama chai ya kawaida bila kuongeza sukari. Fanya hivi asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu


No comments:

Post a Comment