Friday, May 13, 2016

NGOZI YAKO NI KAVU? ONGEZA KULA PARACHICHI!

Kama ngozi yako ni kavu ni vizuri kuongeza ulaji wa parachichi. Hii ni kwa sababu parachichi lina kiasi kikubwa cha aina ya mafuta yanayoitwa oleic acid pamoja na vitamin E. Viambata hivi kwa pamoja huchangia sana kuboresha siha ya ngozi

No comments:

Post a Comment