Hii mboga siyo maarufu sana kwa sisi "waswahili" lakini ni miongoni mwa kile kinachoitwa super vegies.
Pamoja na mambo mengine ukiila mara kwa mara huponyesha vidonda vya tumbo, ugonjwa wa fizi kutoa damu, na ni moja ya kinga kubwa sana dhidi ya ugonjwa wa saratani.







No comments:
Post a Comment