Kazi zetu

Tunafanya tafiti zinazohusiana na tiba kwa njia ya mimea na vitu vingine vya asili, kutoa ushauri kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu afya na siha, kutoa elimu ya afya; na kuuza dawa asili na virutubisho vya mwili (nutritional supliments) vinavyotokana na mimea na malighafi nyingine za asili nyingine kwa ajili ya kutibu, kuboresha na kuimarisha afya yako hapa kwetu Tanzania na nchi zingine duniani.



RESEARCH | PRODUCTION | MARKETING OF MEDICINAL HERBAL FORMULATIONS

No comments:

Post a Comment